Mzungu wa Harmonize Amtumbua Jack Wolper....Aweka Wazi Messeji Wolper Aliyoandika Kwa Harmonize


wanadada @sarah__tz ambaye ni Mpenzi wa Mkali kutoka @wcb_wasafi @harmonize_tz ameonesha kukasirishwa na kitendo cha Mwanadada @wolperstylish kumtumia Picha na Jumbe Mpenzi wake katika Mtandao wa kijamii wa instagram

@sarah__tz ameweka Picha ambayo inaonesha Picha na jumbe ambazo Wolper amemtumia Harmonize na kuweka Ujumbe wa kumkanya Wolper kuwa aachane na Mpenzi wake na aishi Maisha yake kama inavyooneka hapo.

Ujumbe wa Wolper unaoonekana hapo unaonyesha kuwa kitendo cha Page mbalimbali kumtag kwenye Video na Post za zamani za yeye na Harmonize kinamuumiza kiasi cha kutaka kublock page zote zinazomfanyia hivyo kitu ambacho Kimemkera Sarah na kuamua kuandika hivi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad