Nawaombea Msipate Machungu Haya Niliyopitia Mimi –Ndugai

Nawaombea Msipate Machungu HayNiliyopitia –Ndugai

April 9, 2018 Spika wa Bunge Job Ndugai ameongoza kikao cha tano  cha bunge la kumi na moja baada ya kutoka kwenye matibabu nje ya nchi.

 “Nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunirudisha salama, Mwanadamu sio jiwe lazima apitie mapito. Nimerudi na sasa tupo pamoja. Baadhi yenu labda hamjawahi kulazwa hospitali mkiwa mnaumwa sana alafu unanakuwa kama upo peke yako kidogo na kuna dalili zinakuwa zinaonesha kama kesho inaweza isikuche hivi….! Ina raha yake na tabu yake kidogo, nawaombea msipate machungu haya” –Spika Job Ndugai
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad