Nguvu ya Pesa Yamtoa Katika Kifungo cha Miaka Mitano Salman Khan.... Akaa Jela Siku Mbili Apewa Dhamana"

Nguvu ya Pesa Yamtoa Katika Kifungo cha Miaka Mitano Salman Khan.... Akaa Jela Siku Mbili Apewa Dhamana"
Siku mbili baada ya Mahakama nchini India kutoa hukumu ya miaka mitano kwa Staa wa filamu nchini India Salman Khan kwa kosa la ujangili mwaka 1998, staa huyo ameachiwa huru kwa dhamana.

Khan ameachiwa huru kwa dhamana baada ya kukata rufaa, ikiwa ni siku mbili baada ya kulala jela na mahakama kumwamuru alipe faini ya Dola za Marekani 154 sawa na takriban Shilingi za Kitanzania 369, 600.

Khan anadaiwa kuua swala wawili wa aina ya ‘blackbucks‘ ambayo hulindwa sana nchini humo. Alifanya kosa hilo katika mji wa Rajasthan wakati wakitengeneza filamu.

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acheni upuuzi,huyo mliyemuweka sio mwenyewe

    ReplyDelete
  2. Hawajui nani salman Khan ,nani Shahru khan.kama hamujui tafauti zao bora musiweke picha.mutajitia hatiani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad