Nguvu ya Pesa Yaongea...Agness Masogange Aachiwa Huru
0
April 03, 2018
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilikuwa imemhukumu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Tsh. Milioni 1.5, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kwa kosa la kutumia madawa ya kulevya aina ya heroin na Oxazepam..
Msanii Agnes Gerald aka Masogange ameachiwa huru mara baada ya kulipa faini ya Sh milioni 1.5..
Tags