Pezi la Dogo Janya Lammaliza Irene Uwoya Aamua Kuchola Tatoo Yenye Jina Halis La Janjaro

Pezi la Dogo Janya Lammaliza Irene Uwoya Aamua Kuchola Tatoo Yenye Jina Halis La Janjaro
Ndoa ya muigizaji, Irene Uwoya na Mbongo Fleva, Dogo Janja, inazidi kustawi kutokana na wawili hao kuendelea kuonyeshana mahaba kila kukicha mitandaoni, ambapo muigizaji huyo sasa ameamua kuchora Tattoo yenye jina halisi la mumewe ‘Abdul’.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dogo Janja, amepost picha ya mkewe inayoonyesha Tattoo hiyo na kumuandikia maneno yafuatayo.

“Ahsante Mke Wangu, Nichore Na kule Ninapopaonaga mimi tu”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad