Picha : Ilivyokua Harusi ya Abdukiba

Picha : Ilivyokua Harusi ya Abdukiba
Msanii wa Bongo Flava, Abdu Kiba naye ameaga ukapera rasmi hapo jana April 22, 2018.

Abdu Kiba ameoa zikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu kaka yake, Alikiba kuoa huko Mombasa nchini Kenya. Inadhaniwa huenda wawili hao wakafanya sherehe ya pamoja April 29, 2018 Dar es Salaam.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad