Polisi Wajaribu Kutumia Kidole cha Marehemu Kuchora ‘Password’

Kutoka Florida nchini Marekani, Jeshi la Polisi limeshukiwa na watu baada ya askari polisi wawili kuingia kwenye nyumba iliyokuwa na msiba na kushinikiza kufungua ‘unclock‘ simu ya marehemu.

Inaelezwa kuwa marehemu huyo Linus Phillip, 30, aliuawa pindi alipojaribu kuwatoroka polisi katika kituo cha mafuta eneo la Largo mnamo March 23, 2018.

‘Bila kujali Bifu zenu ila katika hili tuko Pamoja’ RC Makalla

Mpenzi wa marehemu Victoria Armstrong ameeleza kusikitishwa na kitendo hicho ambacho polisi wenyewe wamedai kuwa ni sehemu ya upelelezi wao.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad