Polisi nchini India wameeleza kuwa wanamshikilia mwanaume mmoja ambaye aliweka mwili wa mama yake mzazi aliyekufa kwenye freezer na kuishi nao kwa miaka 3.
Mtuhumiwa huyo Subhabrata Majumdar anaelezwa kuwa aliweza kutunza mwili huo kwenye freezer kwa kutumia kemikali za kuuchoma mwili wa marehemu.
Uchunguzi juu ya tukio hili unaendelea huku polisi wakieleza kuwa wanahisi alitunza mwili huo ili apate mafao ya mama yake na pia alikuwa akiamini kuwa mama yake atazaliwa upya kama mwili wake utatunzwa.
Kesi ya Uhujumu Uchumi ‘Ifikie mahali washtakiwa wajulikane wanafungwa ama lah” Hakimu
SOMA PIA: Ndoa Nyingi za Kizazi Hiki Zinavunjika Kwa Sababu za Kijinga, Nguvu ya Mwanamke Katika Ndoa
SOMA PIA: KUFIKA KILELENI KWA MWANAMKE NDIO KUKOJE?