Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo
April 18, 2018 ameteuwa watu kumi kushika nafasi mbalimbali akiwepo
Prof. Idris Suleiman Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Prof. Kikula umeanza April 17, 2018