Ray Awapiga Dongo la Kiaina Nandy na Bilnass 'Kusema Uongo ni Dhambi na Mficha Maradhi Kifo Umuumbua..Hakuna Uongo Unaoweza Kudumu'

Muigizaji Staa wa Bongo Movie Ray Kigosi amewashauri waigizaji wenzake kupitia ukurasa wake wa instagram na kuwaomba pindi wanapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi basi wawe wazi na kuyaweka mbele ya watu na kuacha uongo kwani sisi sote ni binadamu.

Ray Kigosi ameandika ujumbe huu katika ukurasa wake wa Instagram……“WASANII WENZANGU TUJIFUNZE KUSEMA UKWELI TUNAPOKUWA KWENYE MAHUSIANO MAANA HATA SISI NI BINADAMU HATUZUIWI KUWA NA WENZA TUWAPENDAO”

 “KUSEMA UONGO NI DHAMBI NA MFICHA MARADHI KIFO UMUUMBUA KWANI HAKUNA UONGO UNAOWEZA KUDUMU MILELE NI USHAURI TU UNAWEZA KUUCHUKUA AU KUNIACHIA USHAURI WANGU NIPUYANGE NAO” -Ray

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad