Rosa Ree Afunguka Sababu ya Kuhamia South Afrika Kwa Muda...


Msanii Rosa Ree amesema sababu za yeye kuwa South Africa kipindi hiki ni kufanya video ya ngoma yake mpya na msanii ambaye anafanya vizuri pande hizo za South Africa Emtee.

Licha ya kuwa mmoja kati ya wasanii ambao Rosa anawakubali pia jamaa tayari ametoa ngoma nyingi kama #RollUp #WeUp #CornerStore #Plug na kufanya kupata heshima kwa kazi zake tusubiri na tuone mkwaju mpya kutoka kwao.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad