Sauti ya Askofu Kakobe na Kamishina Kuhusu Kuitwa Uhamiaji Kuhojiwa Uraia Wake

Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Idara ya Uhamiaji, imemwandikia barua Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe kumtaka afike katika ofisi za Idara hiyo kwa ajili ya mahojiano

 Askofu Kakobe na amethibitisha kupokea wito huo na amesema yupo tayari kwenda kwenye mahojiano hayo. Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Askofu Kakobe na Kamishina wa Uhamiaji Ngonyani.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad