Shilole: Ngumu Kuamini Kifo cha Masogange Juzi tu Nilimpelekea Oda ya Chakula

Shilole: Ngumu Kuamini Kifo cha Masogange Juzi tu Nilimpelekea Oda ya Chakula
Msanii wa filamu na muziki, Shilole, amesema ilikuwa ngumu kwake kuamini kwa mara ya kwanza pale alipopokea taarifa za kifo cha mwanamitindo na video queen, Agness Masogange, kwani siku chache nyuma kabla ya mauti kumkuta alimpelekea chakula na wakapata muda wa kunywa pamoja.


Shilole amesema yupo tayari kwa chochote ambacho atahitajika kufanya kwa sasa kwa ajili ya kumpumzisha rafiki yake huyo kipenzi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad