"Sijawahi Kuona WanafanyiaMapenzi Sebuleni" - Martha

"Sijawahi kuona wanafanyia sebuleni" - Martha
Muimbaji wa nyimbo za Injili jijini Dar es salaam Martha Mwaipaja amefunguka na kusema kuwa katika dunia ya sasa watu wamekuwa wakifanya sana dhambi na kuzini ili hali wanatambua kuwa kufanya hivyo ni makosa lakini wamekuwa wakimsingizia shetani.


Martha Mwaipaja amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kupitia ukurasa wa facebook wa EATV na kudaikwamba yeye amekuwa hawaelewi watu ambao wanafanya zinaa halafu wanasema wamepitia na shetani na kudai kuwa hilo jambo si kweli kwani wao wanapofanya hivyo wanakuwa wanatambua na kupanga kufanya tendo hilo ndiyo maana hawawezi kulifanya wakiwa sebuleni.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad