Tanzia: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa Mkoani Dodoma Afariki Katika Ajali Mbaya


Taarifa zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa mkoani Dodoma, Mhandisi Ngusa Izengo amefariki dunia baada ya gari lake kuangukiwa na lori la mafuta usiku wa kuamkia leo

Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu tukio hili.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad