Tetesi: Aliyewahi kuwa Beki wa Simba SC, Abdi Banda kumuoa dada yake Ali Kiba

Tetesi za Kitaa zinasema Abdi Banda anatarajia kufunga ndoa na dada ake Kiba, Zabibu baadae mwaka huu, hii ni baada ya kaka yake kufunga ndoa. Pongezi kwake Abdi Banda

Abdi Banda kwa sasa anachezea timu moja huko South Africa,ila aliwahi kuichezea simba sc

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad