Mamlaka ya hali ya hewa iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania imewatahadharisha wananchi kuwepo kwa vipindi vifupi vya mvua kubwa katika baadhi ya mikoa ya Tanzania kuanzia leo usiku Aprili 09, 2018.
Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa na mamlaka hiyo jioni ya leo (Jumatatu) na kudai kutakuwepo na upepo unaotarajiwa kuvuma kutoka Kusini- Mashariki kwa kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani yote huku hali ya bahari inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo
Kwa taarifa kamili angalia hapa chini.