“Tukiwasema mnatupeleka Polisi lakini Rais akitukashifu….”-John Heche

TOP STORIES “Tukiwasema mnatupeleka Polisi lakini Rais akitukashifu….”-John Heche
Mbunge wa Tarime vijijini John Heche amelalamika ndani ya Bunge kwamba Serikali imekuwa ikiwanyima uhuru wa kuzungumza baadhi ya viongozi na wanachama vya vyama vya upinzani na pale wanaoonekana kuzungumza kwa lengo la kuikosoa Serikali huishia kupelekwa Polisi na Mahakamani.

Heche amesema…>>>“Sisi tukizungumza kuhusu nyie mnatupeleka Polisi lakini Rais akitukashifu sisi hatuna pa kuwapeleka, Ni lazima tuheshimiane na tuelewane”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad