Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa Mguu Afunguka Haya

Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji wa Mguu Afunguka Haya
MBUNGE wa Singi da Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema kwa amara nyingine tena, leo Aprili 11, 2018 ataingia kwenye chumba cha upasuaji kwa ajili ya kufanyiwa oparesheni ya mguu wake wa kulia ambao bado una matatizo kutokana na risasi alizopigwa Septemba 7 mwaka jana nyumbani kwake, Area D, Dodoma.

Upasuaji huu utakuwa ni wa 20 tangu alipoanza kutibiwa, baada ya kushambuliwa kwa risasi mwaka jana.

Lissu ambaye yupo nchini Ubelgiji kwa matibabu amesema kwamba oparesheni hiyo ni sehemu ya tiba ya mguu huo huku akieleza kuwa kwenye mikono yuko salama kitabibu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad