Video: Inasikitisha Vilio, Simanzi Vyatanda Msiba wa Masogange

Video: Inasikitisha Vilio, Simanzi Vyatanda Msiba wa Masogange
Familia ya Aliekuwa Video Vixen, Maarufu Agness Gerald Maarufu kama Masogange wamekubaliana na Taratibu zilizopangwa na wasanii kuhusiana na ratiba nzima ya mazishi ya marehemu ambapo zoezi la kuaga mwili wa marehemu litafanyika katika viwanja vya leaders club, na baadae kuusafirisha mwili wa marehemu agnes masogange kuelekea mbeya kwa mazishi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad