VIDEO: Mama Kanumba Anena Mazito Mahaba Yake kwa Wema Sepetu " Kanumba Angekua Hai Ningependa Amuoe Wema kwa Lulu Hapana"

VIDEO: Mama Kanumba Anena Mazito Mahaba Yake kwa Wema Sepetu " Kanumba Angekua Hai Ningependa Amuoe Wema kwa Lulu Hapana"
Mama mzani wa aliekuwa msanii machachari wa Tasnia ya filsmu nchi Florence Mtegoa (Mama Kanumba) amenena mazito kuhusiana na jinsi anavyompenda wema sepetu na kusema kuwa kati ya wema sepetu na lulu kwa upande wake kama mwanae angeamua kua basi yeye kwa upande wake angemchaua wema kutokana na heshima yake na hakuwahi kumvunjia heshima,

na kuendelea kutoa nasaha kwa Lulu ambae kwa sasa anatumikia kifungo chake jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kumtaka akitoka jela amrudie mungu wake.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe mama uko kigeugeu sana juzi juzi tu Wema sepetu alikuita uende byumbani kwake ulivyofika pale haukufunguliwa mlango ukaa pale nje mlangoni bila ya kufunguliwa mlango leo hii ndiyo unamuona Wema ni mtu bora

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad