Mama mzani wa aliekuwa msanii machachari wa Tasnia ya filsmu nchi Florence Mtegoa (Mama Kanumba) amenena mazito kuhusiana na jinsi anavyompenda wema sepetu na kusema kuwa kati ya wema sepetu na lulu kwa upande wake kama mwanae angeamua kua basi yeye kwa upande wake angemchaua wema kutokana na heshima yake na hakuwahi kumvunjia heshima,
na kuendelea kutoa nasaha kwa Lulu ambae kwa sasa anatumikia kifungo chake jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kumtaka akitoka jela amrudie mungu wake.
Wewe mama uko kigeugeu sana juzi juzi tu Wema sepetu alikuita uende byumbani kwake ulivyofika pale haukufunguliwa mlango ukaa pale nje mlangoni bila ya kufunguliwa mlango leo hii ndiyo unamuona Wema ni mtu bora
ReplyDelete