VIDEO: Mambo ni Hivi Kifesi Anena Mazito Kilichomtoa WCB

VIDEO: Mambo ni Hivi Kifesi Anena Mazito Kilichomtoa WCB
Aliekuwa mpiga picha wa muimba muziki maarufu Tanzania na dunian, Kifesi ambae amekuwa akimpiga picha kwa takribani miaka mitano ameamua kuacha kazi WCB kutokana na kile alichokisema kuwa ameamua kufanya hivi kutokana na kukosa muda wa kufanya ibada kutokana na siku ambazo ibada inafanyika mara nyingi anakuwa safarini kwaajili ya kupicha picha za show za WCB.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad