VIDEO: Nuh Mziwanda amezungumzia ulipofikia uhusiano wake na Nawal

Nuh mziwanda ni mmoja kati ya wasanii ambao wamechukua headlines kwa mwaka huu wa 2017, sasa staa huyo amefunguka mbele ya waandishi wa habari April 8, 2018 na kudai yuko single pia hajafikiria kuwa kwenye mahusiano.

‘Mimi na Nawal tumebaki tu kulea mtoto yeye ana maisha yake na mimi nina maisha yangu, na niko single sijafikiria bado kuwa na mwanamke’– Nuh Mziwanda

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad