Askofu Mkuu wa Angikana Akutana na Rais Magufuli na Kufanya Mazungumzo

Askofu Mkuu wa Angikana Akutana na Rais Magufuli na Kufanya Mazungumzo
Askofu wa Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Maimbo Mndolwa jana alikutana na kufanya mazungumzo ya faragha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania.

Akifanya mazungumzo na Rais Magufuli, Askofu Mndolwa alisema kuwa, Tanzania inayokuja inaonekana anaiona yenye kuwa na neema ya kipekee licha ya changamoto zilizopo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad