Billnass Kazungumza ishu ya Kumkana Baba yake Kwenye wimbo

Baada ya kijana anayedaiwa kuwa ni mdogo wa Billnass kuzungumzia ishu ya baba mzazi wa Billnass kuhuzunishwa na ngoma ya “Tagi Ubavu” kutokana na mstari unaosema kuwa “dingi simjui na story zake hazinisumbui”

Tumempata Billnass kazungumza kuhusiana na ishu hiyo kwenye exclusive interview na Ayo Tv, bonyeza PLAY kusikiliza alichokizungumza.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad