Chips Zenye Madawa ya Kulevya Nusura Zitoe Maisha ya Watu Watatu


CHATO, GEITA: Watu 3 wamenusurika kifo baada ya kula chips zinazoaminika kuwa na #DawaZaKulevya zilizosababisha wapoteze fahamu kwa saa 9 na kuibiwa mali mbalimbali

Watu hao walikirimiwa chakula hicho na mgeni mmoja aliyefika katika nyumba ya kulala wageni(Diana) wanakofanya kazi

Baada ya kula chips hizo walianza kuishiwa nguvu na hatimaye kupoteza fahamu kwa saa 9 hadi pale walipozinduka wakiwa katika hospitali ya Wilaya hiyo

Mpaka sasa watu hao wamelazwa katika Hospitali hiyo ingawa afya zao bado zimedhoofu huku dawa waliyowekewa kwenye chakula hicho ikiwa bado hakijafahamika

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad