IGP Sirro, Fatuma Karume Wakutana Kwaajii ya Mazungumzo

IGP Sirro, Fatuma Karume Wakutana Kwaajii ya Mazungumzo
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume aliyefika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa lengo la kujitambulisha tangu alipochaguliwa kuongoza Chama hicho ambapo pia walijadiliana masuala kadhaa ya kisheria.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad