Kijo-Bisimba wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Angatuka Mrithi Wake Apatikana

Kijo-Bisimba wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Angatuka Mrithi Wake Apatikana
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imemtangaza Bi. Anna Henga kuwa Mkurugenzi mpya wa kituo hicho ambapo atapokea mikoba ya Mkurugenzi wake wa muda mrefu, Dr. Helen Kijo-Bisimba.


Uteuzi wa Bi. Henga ni matokeo ya mchakato wa ndani wa muda mrefu uliotekelezwa na bodi ya Wakurugenzi ya kituo hicho kutoka mwanzoni mwa mwaka 2017.

Katika taarifa iliyotolewa leo na Kituo hicho imeeleaa kuwa uteuzi wa Bi. Henga unatarajiwa kuanza Julai 1 mwaka huu..

Awali Bi. Henga alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad