Korea Kaskazini Kuamua yenyewe Muda wa Kuachana na Makombora ya Nyuklia

Korea Kaskazini imetangaza kuachana na makombora ya nyuklia pale itakapotaka yenyewe.

Nchi hiyo imetangaza kuwa itafuata taratibu zake inazozitaka katika kuachana na makombora hayo na wala haitofuata sheria za nchi nyingine.

Imebaki ni kitendawili ni lini Kim Jong Un atatimiza ahadi yake ya kuachana na makombora ya nyuklia.

Ahadi hiyo Kim aliitpa wakati wa mkutano wake na Moon Jae In 27 Aprili.

Marekani imekuwa ikiihimiza Korea Kaskazini kuachana na majaribi yake ya makombora ya nyuklia.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad