Nandy "Nilizimia Baada ya Kuambiwa Video yangu ya Kitandani Inasambaa Mitandaoni"


"Kiukweli nilistushwa na simu nilizokuwa napigiwa, sikujua ni kitu gani lakini baadae nilipojua ukweli, nilizimia kwa mujibu wa meneja, lakini mimi sikujua kama nilizimia, nilichanganyikiwa sana, hadi sasa sijajua ni nani aliisambaza ile video na alikuwa na nia gani" Nandy

Ukikutana leo hii na Nandy utapenda kumwambia nini au kumshuri nini?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad