Ni Shida Gani ipo Kwenye Ndoa Mbona Wanandoa Hawaonyeshani Machombezo ya Mapenzi?

Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanandoa wengi huwa hawawezi kuonyeshana mapenzi yao, yaani yale matendo/matukio/machombezo ya kimapenzi na kuishia kuishi tu kama washirika wawili wa kisheria zaidi kuliko hata wapenzi.

Ili hali mapenzi ndio yalitangulia kabla ya wao kuamua kuingia mkataba wa kisheria.

Na hili ndio huchangia kwa kiasi kikubwa wanandoa wa kiume kutafuta hayo nje, yaani kwa mwanamke asiye mke kwani yule kwa kuwa hajiamini na nafasi yake basi hujituma bila kuchoka ukilinganisha na yule anayejehasabu kama muhusika mkuu.

Tatizo liko wapi hapa?

SOMA Pia : Nafasi za Ajira Zilizotangazwa
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad