POLISI: Marufuku Kukohoa Pale Unapopishana na Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa, Hilo ni Shambulio la Aibu..Tutakukamata

Kama mada inavyojieleza, Kamanda mmoja wa polisi amesema ni marufuku kukohoa pale unapopishana au unapomwona mdada/mwanamke mwenye makalio makubwa

Kamanda huyo amesisitiza kwamba kukohoa huko kutapelekea kukamatwa kwa maana kitendo hicho ni "Shambulio la aibu"

VIDEO;

Tags

Top Post Ad

Below Post Ad