Q Chief Abadili Uamuzi wake wa Kuacha Muziki...Watangazaji Wamuangukia Asiache


Katika interview ya leo, Watangazaji wa #XXL walionekana kumshawishi Chilla asiache muziki kwani wanaamini bado ana uwezo mkubwa. Kupitia ushawishi wa #XXL na mtu aliyetajwa kama 'Mentor' (Mshauri) wa #QChief, hatimaye gwiji huyo ametangaza kubaki kwenye game.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad