Rais Magufuli Awaapisha Balozi Kidata na Makungu

Rais Magufuli Awaapisha Balozi Kidata na Makungu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada pamoja na Bw. Msalika Robert Makungu kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Tabora  kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad