Rihama Afunguka Kuhusu Biashara Zake " Kufanya Biashara Haimaanishi Kuwa Sanaa Ninayofanya Hainilipi"

Rihama Afunguka Kuhusu Biashara Zake " Kufanya Biashars Haimaanishi Kuwa Sanaa Ninayofanya Hainilipi"
Msanii wa filamu Bongo, Riyama Ally amesema msanii anapoamua kufanya biashara haimaanishi kuwa sanaa anayofanya haimlipi.

Kauli ya msanii huyo imekuja mara baada kujiingiza katika biashara ya nguo (t-shirt).

Riyama amesea kuwa msanii hapaswi kutegemea sanaa pekee kama njia ya kujiingizia kipato na ndio sababu ya yeye kufanya hivyo.

“Hapana sio kweli, mtu unatakiwa kufanya vitu mbali mbali ili kuweza kujiongezea kipato lakini movie na tamthilia zinalipa na uzuri tunapiga miguu yote, basi mambo mazuri hiyo nimejiongeza tu,” Riyama Ally ameiambia Bongo5.

Ukiachilia mbali filamu na biasha ya nguo, pia Riyama Ally ni balozi wa kampuni kubwa mbali mbali za Bongo na nje.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad