Sakata la Shehena ya Korosho kuchanganywa na Kokoto lafika Patamu


DODOMA: Serikali kupitia Naibu Waziri wa Kilimo, Mary Mwanjelwa amesema uchunguzi dhidi ya maafisa walioruhusu kusafirishwa kwa shehena ya Korosho iliyochanganywa na kokoto
-
Mpaka sasa hatua zilizochukuliwa na Serikali ni pamoja na kuitaka Bodi ya Korosho Nchini, Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi Ghalani, Tume ya Maendeleo ya Ushirika na Mamlaka ya Serikali za Mitaa kuanza kushirikiana
-
Mikakati iliyoafikiwa ikiwa ni pamoja na kuimarisha usimamizi wa ubora wa Korosho katika mnyororo wake wote ili kudhibiti uhalifu kama huo yoyote
-
Serikali itatoa kauli mara moja pindi uchunguzi dhidi ya watu hao utakapokamilika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad