Simba Haikamatiki Yasubiri Point Moja tu Kuwa Bingwa

Simba Haikamatiki Yasubiri Point Moja tu Kuwa Bingwa
Ligi Kuu Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya May 6 2018 kwa michezo minne kuchezwa katika viwanja mbalimbali Tanzania bara, mchezo kati ya Simba dhidi ya Ndanda FC  uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Simba ambao wanatajwa kuwa na safu nzuri ya ushambuliaji msimu huu kuliko vilabu vingine leo wamefanikiwa kupata point tatu kwa ushindi finyu wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 44.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad