Video: Mimi nilikuwa Nabii wa Yanga, nimeacha historia TZ – Jerry Murro Ajitapa

Aliyekuwa afisa habari wa klabu ya Yanga, Jerry Muro amesema kuwa ndani ya timu hiyo alikuwa kama nabiina wala hakuajiriwa kili alilotamka lilikuwa likitimia kama alivyosema wataifunga Costi Union ya Tanga goli sita kwakuwa ilikuwa tarehe 6 na kweli yakatimia.

VIDEO:

Tags

Top Post Ad

Below Post Ad