VIDEO: “Tuelezeni, mpaka leo Polisi haijafanya uchunguzi risasi za Lissu”–Zitto

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe amesema ameitaka Serikali kujibu ni nani anayehusika kuwakamata watu ambao hadi sasa hawajulikani walipo ikiwa Jeshi la Polisi limeshindwa kutolea ufafanuzi hadi sasa.

“Kuna watu ambao wana miaka miwili hadi sasa hawajulikani walipo na Jeshi la Polisi halina maelezo yoyote hadi sasa hivi, yote haya ni mlolongo wa mambo mengi ambayo yanaweza kutuletea shida ndani ya nchi” –Zitto Kabwe

VIDEO:
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad