Watoto Wawili Waibuka Mashujaa Baada ya Kuopoa Mwili wa Mzee Aliyekufa Maji Akiogelea


MTWARA: Watoto wawili umri wenye umeri wa miaka 8 na 12, wameibuka mashujaa baada ya kuopoa mwili wa Mzee Nampwenge aliyekufa maji
-
Mzee huyo alifikwa na mauti wakati akijikumbusha kuogelea katika bwawa hilo lililopo huko Namanyanga, Naliendele Mkoani Mtwara
-
Akithibitisha tukio hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Namanyanga, Ally Salum Nayove amesema ni kweli Watoto hao waliojitosa kwenye bwawa lililojaa maji kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha na kuutoa mwili huo
-
Mmoja wa mashuhuda amesema kwamba Mzee huyo ambaye pia ni rafiki yake alikuwa akijikumbusha kuogelea lakini maji yalimzidi na kufariki dunia saa chache kabla ya kufuturu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad