Watu Wanaochelewa Kulala Wana Awezekano Mkubwa wa Kufa Mapema


UTAFITI: Watu wanaochelewa kulala wana uwezekano mkubwa wa kufa mapema kuliko wale wanaowahi kulala

Msingi wa utafiti huo ni kwamba watu wanaolala muda mzuri na kuamka mapema wanaweza kuishi muda mrefu ukilinganisha na wale ambao wanachelewa kulala ambao wakati mwingine wanaamka mapema wakiwa na uchovu mwingi

Matokeo ya utafiti huo yamechambua sampuli ya watu laki 5 wenye umri wa miaka 30 hadi 73 ambao walifuatiliwa tabia za ulalaji wao kwa zaidi ya miaka 6 na nusu

Watafiti walibaini kuwa watu ambao walikuwa wanachelewa kulala walikuwa na hatari kwa asilimia 10 kufa mapema katika kipindi cha utafiti kuliko wale ambao wanalala mapema na kuamka mapema
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad