Watu Zaidi ya 1700 Wameondolewa Katika Nyumba Zao Kuhofia Volkano Hawii

Watu Zaidi ya 1700 Wameondolewa Katika Nyumba Zao Kuhofia Volkano Hawii
Leo May 8, 2018 Watu zaidi ya 1700 wameondolewa katika nyumba zao katika eneo Kilauea nchini Hawaii kutokana na tope la volkano.

Wakazi wa eneo ambalo limekumbwa na volkano wameondolewa wakihofiwa kudhurika kutokana na moshi wa tope la volkano na kupelekwa katika eneo salama.

Tope hilo la volkano linatoa moshi ambao wanasayansi wamesema kuwa ni hatari kwa maisha ya binadamu.







Tags

Top Post Ad

Below Post Ad