
KIGOMA: Basi la Princess Hamida limegonga treni ya mizigo iliyokuwa inatoka Kigoma kuelekea Tabora asubuhi hii eneo la Kigoma Mjini
-
Watu saba wamefariki huku idadi ya vifo ikihofiwa kuongezeka kutokana na hali mbaya za majeruhi
-
Inaelezwa kuwa basi hilo nilikuwa likitoka Kigoma kuelekea Tabora