Ali Kiba 'Mimi Najivunia Kuwa Mswahili..Asikwambie mtu Acha Uswahili'

"Najivunia sana kuwa mswahili na kuongea Kiswahili na kutumia kiswahil katika kazi yangu ya kunipatia maisha, kwahiyo kila mtanzania ni lazima ajivunie kuwa mswahili, asikwambie mtu acha uswahili"- Alikiba

Nini maoni yako

Top Post Ad

Below Post Ad