Baada ya Kunusurika Kwenye Ajali Hii Hapa Kauli ya Mwarabu Fighter

Baada ya Kunusurika Kwenye Ajali Hii Hapa Kauli ya Mwarabu Fighter
BAADA ya kupata nafuu kutokana na ajali aliyopata mnamo June 22, 2018, Bodigadi wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter amesema kuwa kama si mipango ya Mungu basi angekuwa ameshafariki dunia kutokana na ajali hiyo.

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku ya leo maana kama sio mapenzi yake inawezekana kabisa leo hii nisinge kuwepo kutokana anajali mbaya sana nilio nusurika…🙏

Top Post Ad

Below Post Ad