Baada ya Maofisa Kupima Samaki kwa Rula Waziri Aomba Radhi

Baada ya Maofisa Kupima Samaki kwa Rula Waziri Aomba Radhi
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameliomba radhi Bunge kwa kitendo cha maofisa wa wizara yake kuingia kwenye mgahawa wa Bunge Dodoma na kupima kwa rula samaki waliopikwa kwa ajili ya kitoweo.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad