Bakwata wafafanua juu ya Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Kiislam

Mradi wa chuo Kikuu cha kiislamu kwa ufadhili wa SaudiaArabia,ahadi hii ili tolewa na Waziri wa Dini kutoka Saudia Arabian, mwaka jana Mufti mkuu wa Tanzania alienda kuhudhuria mkutano uliofanyika Tarehe 29/December /2017.

Akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mufti kuu wa Tanzania Mjumbe wa baraza la Waislamu Bakwata Khamis Mataka , Amesema

katika mkutano ule ndipo   alizungumza naye juu ya haja ya Tanzania kuwa na chuo Kikuu na aka pewa Proposal, na baada ya kurudi nchi Mufti akalieleza hilo suala kama waliyoifikia zungumza na Waziri wa Mambo ya Dini.

Na alipokuja katika mashindano ya kusoma  Quran, kilicho fanyika ni kulitangazatu jambo hilo lakini hali kuanzia pale.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni kwa Waislam Scaba scuba alitoa eneo hilo na Bakwata pia ina he kali 100, kwahiyo utaratibu unafanyika kufahamu kama chuo kitajengwa Tanga ama Dar es Salaam.

Kwaniaba ya baraza amemshukuru  Waziri huyo kutoka Saudia Arabian kwa ufadhili huo.

Pamoja na hayo amesema swala ya Idd na Baraza  la Idd itafanyika kitaifa jijini Dar es Salaam, katika uwanja wa Mnazi Mmoja.

Aidha maandalizi ya Hija hapo awali taasisi 16 zilitangazwa kusafirisha Mahali, lakini mpaka sasa taasisi 11pekee ndo zimekamilisha taratibu zote nazo ni kama ifuatavyo:-
Alhusna Haj Trust, Masjid  Adil, Shamsu-I- Maarifa  kheri, Tanzania Muslimdevelopment Association, Peace travelland Tours Limited , Baraza kuu la waislam Tanzania,Tanzania  Muslim Hajj , Zam zamu Centre, Ahlu Daawa Hajj travelling Agency , Shifa Haji group, Ibn taymiyyah salaf Foundation Hajj and Umrah..

Harambee ya uimarishaji wa Baraza, Bakwata imekuwa ikika biliwa na changamoto za Kifedha muda mrefu, kwa sasa imeunda Kamati na tayari imesha tembelea mikoa mbalimbali na kuhakiki mali za baraza la Waislamu na hatumbalimbali zimechukuliwa,

Kamati imeungua katika mkoa fulani hawana akaunti na hakijulikani wanachi fadhili wapi mapato yao.

Mapato yanayo Patikana hayawezi kukidhi matumizi ya barabaraza, kwa mfumo wa uongozi uliokuwepo ilikuwa ni michango ya Waislam, kwa sasa msikiti yote itachangia  mapato, michango hiyo itakuwa kati ya makundi matatu kuanzia shilingi 10,000 hadi 30,000na kila mwezi kutakuwa na Ijumaa ya nne ya mwezi itakuwa ya harambee ya kuchangia baraza ili kupunguza changamoto ikiwemo kuwalipa watumishi wa Baraza.

Amesema pia katika mabadiliko ya kimfumo baraza liko tayari kupokea  mapendekezo na ushauri katika kupata mapato.

"Hili suala la harambee ni jambo la majaribio kuona Waislamu wote wanachangia baraza lao ambalo ni taasisi  ya Umma ni tofauti na taasisi zingine ndiyo maana hata viongozi wake wanachaguliwa na Waislamu wote na si watu maalumupekee wanaoshiriki,"AAalisema.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad