Barua ya Wanaume ya Kuchelewa Kurudi Nyumbani Msimu wa Kombe la Dunia Yajibiwa


Jibu Hili Hapa:

Rejea Barua yako ya trh 13/6/2018 inayohusu kuchelewa kurudi nyumbani kipindi cha kombe la dunia (FIFA CUO 2018) Nashukuru barua yako nimeipata na kuielewa, lkn kutokana na umuhimu wa kuilinda na kuithamini ndoa yangu, kwa moyo Wa upendo nimeamua kuvunja kibubu changu cha akiba ili niweze kununua DSTV king'amuzi kukupunguzia usumbufu Wa kwenda kumbi za video kuangalia mechi zinazoendelea. Hivyo basi kwa barua hii napenda kukufahimisha kuwa tutaangalia wote kombe la dunia tukiwa na familia, tena kutokana na unyeti Wa mechi zitakazokuwa zinaendelea nami nakubaliana na we we kuzima cm zetu kuepusha usumbufu. Naimani utafurahia ujio Wa DSTV kwako. Ahsante.

🤣🤣🤣🤣 wanawake mna roho mbaya sana hampendi maendeleo ya waume zenu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad