Breaking News: Ajali Yaua Wanajeshi wa JWTZ Mbeya

Breaking News: Ajali Yaua Wanajeshi wa JWTZ Mbeya
Basi lenye namba za usajili T 755 BAB lililokuwa likitokea mkoani Tabora limepata ajali eneo la Igodima jijini Mbeya na kusababisha vifo vya kadhaa vya askari wa Jeshi la Wananchi. Taarifa kamili tunakuletea.

Top Post Ad

Below Post Ad